13 Mose akawajibu Waisraeli, "Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu Bwana atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena. 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mnatakiwa kutulia tu."
Publicidade

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.