Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 16:33,34

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

33 Kwa hiyo Mose akamwambia Aroni, "Chukua gudulia na uweke pishi moja ya mana ndani yake. Kisha uweke mbele za Bwana ili kihifadhiwe kwa ajili ya vizazi vijavyo."

34 Kama Bwana alivyomwagiza Mose, hatimaye Aroni alikuja kuihifadhi ndani ya Sanduku la Ushuhuda.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    33 Kwa hiyo Musa akamwambia Haruni, "Chukua gudulia na uweke pishi moja ya mana ndani yake. Kisha uweke mbele za Mwenyezi Mungu ili kihifadhiwe kwa ajili ya vizazi vijavyo."

    34 Kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa, hatimaye Haruni aliiweka ile mana ndani ya Sanduku la Ushuhuda ili aweze kuihifadhi.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    33 Ebr 9:4Basi Musa akamwambia Haruni, Twaa kopo, ukatie pishi moja ya hiyo Mana ndani yake, uiweke mbele ya BWANA, ilindwe kwa ajili ya vizazi vyenu. 34 Kut 25:16,21;40:20;Hes 17:10;Kum 10:5;1 Fal 8:9Kama vile BWANA alivyomwagizia Musa ndivyo Haruni alivyoiweka hapo mbele ya Ushahidi, ili ilindwe.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.