8 Ndipo Mose akachukua ile damu, akawanyunyizia wale watu, akasema, "Hii ni damu ya agano ambalo Bwana amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote."
Publicidade
Kutoka 24:8
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
8 Ndipo Musa akachukua ile damu, akawanyunyizia wale watu, akasema, "Hii ni damu ya agano ambalo Mwenyezi Mungu amelifanya nanyi kufuatana na maneno haya yote."
- SRUV Swahili Revised Union Version
8 Mt 26:28;Mk 14:24;Lk 22:20;1 Kor 11:25;1 Pet 1:2;Ebr 9:19-20;10:29Musa akaitwaa ile damu, akawanyunyizia watu, akasema, Hii ndiyo damu ya agano alilolifanya BWANA pamoja nanyi katika maneno haya yote.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.