Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 3:12

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

12 Naye Mungu akasema, "Mimi nitakuwa pamoja nawe. Hii itakuwa ishara kwako kwamba ni Mimi nimekutuma: Hapo utakapokuwa umewatoa watu Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    12 Naye Mungu akasema, "Mimi nitakuwa pamoja nawe. Hii itakuwa ishara kwako kwamba ni Mimi nimekutuma: Utakapokuwa umewatoa watu Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    12 Mwa 31:3;Kum 31:23;Yos 1:5;Isa 43:2;Rum 8:31Akasema, Bila shaka mimi nitakuwa pamoja nawe; na dalili ya kuwa nimekutuma ndiyo hii; utakapokuwa umekwisha kuwatoa hao watu katika Misri, mtamwabudu Mungu katika mlima huu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.