4 Bwana alipoona kuwa amegeuka ili aone, Mungu akamwita kutoka ndani ya kile kichaka, "Mose! Mose!"
Naye Mose akajibu, "Mimi hapa."