23 "Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 50030:23 Shekeli 500 ni sawa na kilo 6. za manemane ya maji, shekeli 25030:23 Shekeli 250 ni sawa na kilo 3. za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
Publicidade
Kutoka 30:23
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
23 "Chukua vikolezo bora vifuatavyo: shekeli mia tano30:23 Shekeli 500 ni sawa na kilo 6. za manemane ya maji, shekeli mia mbili na hamsini30:23 Shekeli 250 ni sawa na kilo 3. za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli mia mbili na hamsini za miwa yenye harufu nzuri,
- SRUV Swahili Revised Union Version
23 Wim 4:14;Eze 27:22;Zab 45:8;Yer 6:20Jitwalie manukato yaliyo bora, manemane mbichi shekeli mia tano, na mdalasini wenye harufu nzuri nusu ya kiasi hicho, yaani, shekeli mia mbili na hamsini, na miwa shekeli mia mbili na hamsini,
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.