Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 34:7

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

7 akidumisha upendo kwa maelfu, pia akisamehe uovu, uasi na dhambi. Lakini haachi kuadhibu mwenye hatia; huwaadhibu watoto na watoto wao kwa ajili ya dhambi ya baba zao hata katika kizazi cha tatu na cha nne."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    7 akidumisha upendo kwa maelfu, pia akisamehe uovu, uasi na dhambi. Lakini haachi kuadhibu mwenye hatia; huwaadhibu watoto na watoto wao kwa ajili ya dhambi ya baba zao hata katika kizazi cha tatu na cha nne."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    7 Yer 32:18;Dan 9:4;Efe 4:32;1 Yoh 1:9;Yos 24:19;Ayu 10:14mwenye kuwaonea huruma watu maelfu,34:7 maelfu au maelfu ya vizazi. mwenye kusamehe uovu na makosa na dhambi; wala si mwenye kumhesabia mtu mwovu kuwa hana hatia kamwe; mwenye kuwapatiliza watoto uovu wa baba zao, na wana wa wana wao pia, hata kizazi cha tatu na cha nne.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.