Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 40

Kuweka Wakfu Maskani Ya Mungu

1 Kisha Bwana akamwambia Mose: 2 "Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza. 3 Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também