19 Waganga wale wakamwambia Farao, "Hiki ni kidole cha Mungu." Lakini moyo wa Farao ukawa mgumu naye hakuwasikiliza, kama vile Bwana alivyosema.
Publicidade
Kutoka 8:19
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
19 Waganga wale wakamwambia Farao, "Hiki ni kidole cha Mungu." Lakini moyo wa Farao ukawa mgumu naye hakuwasikiliza, kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amesema.
- SRUV Swahili Revised Union Version
19 Lk 11:20;1 Sam 6:3,9;Ayu 27:11;Zab 8:3;Mt 12:28;Mdo 13:11Ndipo wale waganga wakamwambia Farao, Jambo hili ni kidole cha Mungu;8:19 Katika Kiebrania ina maana ya ‘Nguvu ya Kimungu’ au ‘mkono wa Mungu’. na moyo wake Farao ukawa mgumu asiwasikize; vile vile kama BWANA alivyonena.
Baa la nne: Inzi
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.