Agano La Mungu Na Abramu
1 Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono:
"Usiogope, Abramu.
Mimi ni ngao yako,
na thawabu yako kubwa sana."
1 Baada ya jambo hili, neno la Bwana likamjia Abramu katika maono:
"Usiogope, Abramu.
Mimi ni ngao yako,
na thawabu yako kubwa sana."
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.