Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 15:12,13

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

12 Wakati jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, giza nene na la kutisha likaja juu yake. 13 Kisha Bwana akamwambia, "Ujue hakika kwamba wazao wako watakuwa wageni kwenye nchi ambayo si yao, nao watafanywa watumwa na kuteswa kwa miaka mia nne.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    12 Jua lilipokuwa linatua, Abramu akashikwa na usingizi mzito, na giza nene na la kutisha likaja juu yake. 13 Kisha Mwenyezi Mungu akamwambia, "Ujue hakika kwamba wazao wako watakuwa wageni katika nchi isiyo yao, nao watafanywa watumwa na kuteswa kwa miaka mia nne.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    12 Ayu 4:13,14;Mwa 2:21Na jua lilipokuwa likichwa usingizi mzito ulimshika Abramu, hofu ya giza kuu ikamwangukia. 13 Kut 1:1-14;12:40;Mdo 7:6BWANA akamwambia Abramu, Ujue hakika ya kwamba uzao wako utakuwa mgeni katika nchi isiyo yake, watawatumikia watu wale, nao watateswa kwa muda wa miaka mia nne.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.