Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 21

15 Maji yalipokwisha kwenye kiriba, akamwacha kijana chini ya mojawapo ya vichaka. 16 Kisha akajiendea zake akaketi karibu, umbali wa kutupa mshale, akawaza, "Siwezi kumwangalia kijana akifa." Ikawa alipokuwa ameketi pale karibu, akaanza kulia kwa huzuni.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também