6 Sara akasema, "Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami." 7 Akaongeza kusema, "Nani angemwambia Abrahamu kuwa Sara angenyonyesha watoto? Tena nimemzalia mwana katika uzee wake."
Publicidade

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.