Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 28

16 Yakobo alipoamka kutoka usingizini, akawaza, "Hakika Bwana yuko mahali hapa, wala mimi sikujua." 17 Kwa hiyo akaogopa, akasema, "Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka hapa ndipo nyumba ya Mungu ilipo, hili ni lango la mbinguni."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também