Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 3

17 Kwa Adamu akasema, "Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, Msile tunda lake,

"Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako,

kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo

siku zote za maisha yako.

18 Itazaa miiba na mibaruti kwa ajili yako,

nawe utakula mimea ya shambani.

19 Kwa jasho la uso wako

utakula chakula chako

hadi utakaporudi ardhini,

kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo,

kwa kuwa wewe u mavumbi

na mavumbini wewe utarudi."

Veja também