Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 3:8-10

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

8 Ndipo yule mwanaume na mkewe, waliposikia sauti ya Bwana Mungu alipokuwa akitembea bustanini jioni, wakajificha kutoka mbele za Bwana Mungu katikati ya miti ya bustani. 9 Lakini Bwana Mungu akamwita Adamu, "Uko wapi?"

10 Naye akajibu, "Nilikusikia katika bustani nikaogopa kwa sababu nilikuwa uchi, hivyo nikajificha."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    8 Yule mwanaume na mkewe waliposikia sauti ya Bwana Mwenyezi Mungu akitembea bustanini jioni, wakajificha kutoka kwa Bwana Mwenyezi Mungu katikati ya miti ya bustani. 9 Lakini Bwana Mwenyezi Mungu akamwita Adamu, "Uko wapi?"

    10 Naye akajibu, "Nilikusikia katika bustani nikaogopa kwa sababu nilikuwa uchi, hivyo nikajificha."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    8 Ayu 31:33;38:1;Zab 139:1-12;Yer 23:34;Amo 9:3Kisha wakasikia sauti ya BWANA Mungu, akitembea bustanini wakati wa jua kupunga; Adamu na mkewe wakajificha kati ya miti ya bustani, BWANA Mungu asiwaone. 9 Mwa 4:9BWANA Mungu akamwita Adamu, akamwambia, Uko wapi? 10 Ayu 23:15;1 Yoh 3:20Akasema, Nilisikia sauti yako bustanini, nikaogopa kwa kuwa mimi ni uchi; nikajificha.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.