Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 4

Kaini Na Abeli

1 Adamu akakutana kimwili na mkewe Eva, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Eva akasema, "Kwa msaada wa Bwana nimemzaa mwanaume."

25 Adamu akakutana kimwili na mke wake tena, akamzaa mwana, akamwita Sethi, akisema, "Mungu amenijalia mwana mwingine badala ya Abeli, kwa kuwa Kaini alimuua."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também