6 Yosefu alipowajia asubuhi yake, akawaona kwamba walikuwa na huzuni. 7 Ndipo Yosefu akawauliza maafisa hao wa Farao waliokuwa chini ya ulinzi pamoja naye nyumbani mwa bwana wake, akasema, "Mbona nyuso zenu zimejaa huzuni leo?"
Publicidade

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.