Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 41

38 Hivyo Farao akawauliza, "Je tunaweza kumpata yeyote kama mtu huyu, ambaye Roho wa Mungu yumo ndani yake?"

39 Ndipo Farao akamwambia Yosefu, "Maadamu Mungu amekufunulia yote haya, hakuna mwingine yeyote mwenye akili na hekima kama wewe.

Veja também