Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 45:8

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

8 "Kwa hiyo basi, si ninyi mlionileta huku, bali ni Mungu. Alinifanya kuwa baba kwa Farao, bwana wa watu wa nyumbani mwake wote, na mtawala wa Misri yote.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    8 "Kwa hiyo basi, si ninyi mlionileta huku, bali ni Mungu. Alinifanya kama baba kwa Farao, bwana wa watu wa nyumbani mwake wote, na mtawala wa Misri yote.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    8 Mwa 41:43;Amu 17:10;Ayu 29:16Basi si ninyi mlionileta huku, ila Mungu; naye ameniweka kama baba kwa Farao, na bwana katika nyumba yake yote, na mtawala katika nchi yote ya Misri.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.