Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 47:9

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

9 Naye Yakobo akamwambia Farao, "Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    9 Naye Yakobo akamwambia Farao, "Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka mia moja na thelathini. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya maisha ya baba zangu."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    9 Zab 39:12;119:19;2 Kor 5:6,7;Ebr 11:9,13;1 Pet 2:11;1:24;Ayu 7:7;14:1;Mhu 2:23;Yak 4:14;Mwa 25:7;35:28Yakobo akamjibu Farao, Siku za kuishi kwangu ni miaka mia moja na thelathini; siku za maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikia siku za maisha ya baba zangu katika siku za kuishi kwao.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.