Pular para o conteúdo
Publicidade

Mwanzo 7

7 Noa na mkewe na wanawe na wake zao wakaingia katika safina ili waepuke ile gharika. 8 Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vitambaavyo, 9 wa kiume na wa kike, walikuja kwa Noa wakaingia katika safina kama Mungu alivyomwamuru Noa. 10 Baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya dunia.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também