Lalamiko La Habakuki
2 Ee Bwana, hata lini nitakuomba msaada,
lakini wewe husikilizi?
Au kukulilia, "Udhalimu!"
Lakini hutaki kuokoa?
2 Ee Bwana, hata lini nitakuomba msaada,
lakini wewe husikilizi?
Au kukulilia, "Udhalimu!"
Lakini hutaki kuokoa?
2 Ee Mwenyezi Mungu, hata lini nitakuomba msaada,
lakini wewe husikilizi?
Au kukulilia, "Udhalimu!"
lakini hutaki kuokoa?
2 Zab 27:7;2 Pet 2:8Ee BWANA, nilie hadi lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.