Pular para o conteúdo
Publicidade

Habakuki 1

Lalamiko La Habakuki

2 Ee Bwana, hata lini nitakuomba msaada,

lakini wewe husikilizi?

Au kukulilia, "Udhalimu!"

Lakini hutaki kuokoa?

3 Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma?

Kwa nini unavumilia makosa?

Uharibifu na udhalimu viko mbele yangu;

kuna mabishano na mapambano kwa wingi.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também

Habacuque
Ver todos os capítulos de Habacuque