Pular para o conteúdo
Publicidade

Ayubu 1:8

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

8 Ndipo Bwana akamwambia Shetani, "Je, umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Hakuna mtu mwingine duniani aliye kama yeye, asiye na hatia, ni mnyofu, mwenye kumcha Mungu, na kuepukana na uovu."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    8 Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia Shetani, "Je, umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Hakuna mtu mwingine duniani aliye kama yeye, asiye na hatia, ni mnyofu, mwenye kumcha Mungu, na kuepukana na uovu."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    8 Kisha BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.