Rarueni Mioyo Yenu
12 "Hata sasa," asema Bwana,
"nirudieni kwa mioyo yenu yote,
kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza."
12 "Hata sasa," asema Bwana,
"nirudieni kwa mioyo yenu yote,
kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza."
12 "Hata sasa," asema Mwenyezi Mungu,
"nirudieni kwa mioyo yenu yote,
kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza."
12 Yer 4:1;Hos 12:6Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuomboleza;
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.