Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 1

41 Kitu cha kwanza Andrea alichofanya ni kumtafuta Simoni nduguye na kumwambia, "Tumemwona Masiya" (yaani, Kristo). 42 Naye akamleta kwa Yesu.

Yesu akamwangalia na kusema, "Wewe ni Simoni mwana wa Yohana. Utaitwa Kefa" (ambalo limetafsiriwa Petro1:42 Petro kwa Kiyunani au Kefa kwa Kiaramu; maana yake ni Kipande cha mwamba.).

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também