42 Naye akamleta kwa Yesu.
Yesu akamwangalia na kusema, "Wewe ni Simoni mwana wa Yohana. Utaitwa Kefa" (ambalo limetafsiriwa Petro1:42 Petro kwa Kiyunani au Kefa kwa Kiaramu; maana yake ni Kipande cha mwamba.).

42 Naye akamleta kwa Isa.
Isa akamwangalia na kusema, "Wewe ni Simoni mwana wa Yohana. Utaitwa Kefa" (ambalo limetafsiriwa Petro1:42 Petro kwa Kiyunani au Kefa kwa Kiaramu; maana yake Kipande cha mwamba.).
42 Mt 16:18;Mk 3:16Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe).
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.