Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 1:6-8

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

6 Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7 Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini. 8 Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yahya. 7 Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kupitia kwake watu wote waweze kuamini. 8 Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Mt 3:1;Mk 1:4;Lk 3:1-2;1:13-17,57-80Palitokea mtu, ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7 Lk 3:3Huyo alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye. 8 Yn 1:20Huyo hakuwa ile nuru, bali alikuja ili aishuhudie ile nuru.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.