Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 11:23-25

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

23 Yesu akamwambia, "Ndugu yako atafufuka."

24 Martha akamjibu, "Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho."

25 Yesu akamwambia, "Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    23 Isa akamwambia, "Ndugu yako atafufuka."

    24 Martha akamjibu, "Ninajua ya kuwa atafufuka wakati wa ufufuo wa wafu siku ya mwisho."

    25 Isa akamwambia, "Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi;

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    23 Yesu akamwambia, Ndugu yako atafufuka. 24 Yn 5:29;6:40;Lk 14:14Martha akamwambia, Najua ya kuwa atafufuka katika ufufuo siku ya mwisho. 25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa, atakuwa anaishi;

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.