33 Yesu alipomwona Maria akilia na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye pia wakilia, Yesu alisikia uchungu moyoni, akafadhaika sana. 34 Akauliza, "Mmemweka wapi?"
Wakamwambia, "Bwana, njoo upaone."
35 Yesu akalia machozi.

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.