36 Wekeni tumaini lenu katika nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru." Baada ya kusema haya, Yesu aliondoka, akajificha wasimwone.
Publicidade
Yohana 12:36
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
36 Wekeni tumaini lenu katika nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru." Baada ya kusema haya, Isa aliondoka, akajificha wasimwone.
- SRUV Swahili Revised Union Version
36 Efe 5:8;Mt 23:39Maadamu mnayo nuru, iaminini nuru hiyo, ili mpate kuwa wana wa nuru.
Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake, akajificha wasimwone.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.