Pular para o conteúdo
Publicidade

João 14

Yesu Ndiye Njia Ya Kwenda Kwa Baba

5 Tomaso akamwambia, "Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?"

6 Yesu akawaambia, "Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu.

Veja também