8 Filipo akamwambia, "Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha."
9 Yesu akamjibu, "Filipo, nimekaa nanyi muda huu wote hata usinijue? Mtu yeyote aliyeniona mimi, amemwona Baba. Sasa wawezaje kusema, ‘Tuonyeshe Baba’?