Arusi Huko Kana
1 Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Yesu alikuwepo pale. 2 Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia.