Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 20:27,28

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

27 Kisha akamwambia Tomaso, "Weka kidole chako hapa na uone mikono yangu, nyoosha mkono wako uguse ubavuni mwangu. Usiwe na shaka, bali uamini tu."

28 Tomaso akamwambia, "Bwana wangu na Mungu wangu!"

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    27 Kisha akamwambia Tomaso, "Weka kidole chako hapa na uone mikono yangu, nyoosha mkono wako uguse ubavuni mwangu. Usiwe na shaka, bali uamini tu."

    28 Tomaso akamwambia, "Bwana wangu na Mungu wangu!"

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    27 Kisha akamwambia Tomaso, Lete hapa kidole chako; uitazame mikono yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni mwangu, wala usiwe asiyeamini, bali aaminiye. 28 Yn 1:1Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.