3 Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka mara kuelekea kaburini. 4 Wote wawili walikuwa wanakimbia, lakini yule mwanafunzi mwingine akakimbia mbio zaidi kuliko Petro, akatangulia kufika kaburini.
Publicidade
Yohana 20:3,4
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
3 Petro na yule mwanafunzi mwingine wakaondoka mara moja kuelekea kaburini. 4 Wote wawili walikuwa wanakimbia, lakini yule mwanafunzi mwingine akakimbia mbio kuliko Petro, akatangulia kufika kaburini.
- SRUV Swahili Revised Union Version
3 Basi Petro akatoka, na yule mwanafunzi mwingine, wakashika njia kwenda kaburini. 4 Wakaenda mbio wote wawili; na yule mwanafunzi mwingine akaenda mbio upesi kuliko Petro, akawa wa kwanza kufika kaburini.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.