Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 20:31

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

31 Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo,20:31 Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    31 Lakini hii imeandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Isa ndiye Al-Masihi20:31 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta., Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    31 1 Yoh 5:13;Rum 1:17Lakini hizi zimeandikwa ili mpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo, Mwana wa Mungu; na kwa kuamini muwe na uzima kwa jina lake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.