Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 21

Yesu Amuuliza Petro Kama Anampenda

15 Walipokwisha kula, Yesu akamuuliza Simoni Petro, "Je, Simoni mwana wa Yohana, unanipenda kweli kuliko hawa?"

Yeye akamjibu, "Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda."

Yesu akamwambia, "Lisha wana-kondoo wangu."

16 Yesu akamwambia tena, "Simoni, mwana wa Yohana, wanipenda?"

Petro akamjibu, "Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda."

Yesu akamwambia, "Chunga kondoo zangu."

17 Kwa mara ya tatu Yesu akamuuliza Petro, "Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?"

Petro akahuzunika sana kwa kuwa Yesu alimuuliza mara ya tatu, "Unanipenda?" Akamjibu, "Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda."

Yesu akamwambia, "Lisha kondoo wangu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também