Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 3:5

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

5 Yesu akamwambia, "Amin, amin nakuambia, hakuna mtu yeyote anayeweza kuingia Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa kwa maji na kwa Roho.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    5 Isa akamwambia, "Amin, amin nakuambia, hakuna mtu yeyote anayeweza kuingia ufalme wa Mungu kama hajazaliwa kwa maji na kwa Roho.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    5 Eze 36:25-27;Efe 5:26;Tit 3:5Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.