Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 4

31 Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wakimsihi, "Rabi, kula angalau chochote."

32 Lakini yeye akawajibu, "Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu."

33 Basi wanafunzi wakaanza kuulizana, "Kuna mtu ambaye amemletea chakula?" 34 Lakini Yesu akawajibu, "Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também