9 Yule mwanamke Msamaria akamjibu, "Wewe ni Myahudi na mimi ni Msamaria. Yawezekanaje uniombe nikupe maji ya kunywa?" (Wayahudi walikuwa hawashirikiani kabisa na Wasamaria.)
Publicidade
Yohana 4:9
ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
9 Yule mwanamke Msamaria akamjibu, "Wewe ni Myahudi na mimi ni Msamaria. Yawezekanaje uniombe maji ya kunywa?" (Wayahudi walikuwa hawashirikiani kabisa na Wasamaria.)
- SRUV Swahili Revised Union Version
9 Lk 9:53Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia, Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwangu, nami ni mwanamke Msamaria? (Maana Wayahudi hawatangamani na Wasamaria.)
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.