Pular para o conteúdo
Publicidade

João 5

Mamlaka Ya Mwana Wa Mungu

19 Yesu akawaambia, "Amin, amin nawaambia, Mwana hawezi kufanya jambo lolote peke yake, yeye aweza tu kufanya lile analomwona Baba yake akifanya, kwa maana lolote afanyalo Baba, Mwana pia hufanya vivyo hivyo.

Veja também