Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 5:24

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

24 "Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma, anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini, na kuingia uzimani.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    24 "Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini na kuingia uzimani.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    24 Yn 3:16,18;8:51;1 Yoh 3:14Amin, amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyenituma ana uzima wa milele; wala haingii hukumuni, bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.