Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 6

27 Msishughulikie chakula kiharibikacho, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele, ambacho Mwana wa Adamu atawapa. Yeye ndiye ambaye Mungu Baba amemtia muhuri."

28 Ndipo wakamuuliza, "Tufanye nini ili tupate kuitenda kazi ya Mungu?"

29 Yesu akawajibu, "Kazi ya Mungu ndiyo hii: Mwaminini yeye aliyetumwa naye."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também