Pular para o conteúdo
Publicidade

João 6

44 Hakuna mtu awezaye kuja kwangu kama asipovutwa na Baba aliyenituma, nami nitamfufua siku ya mwisho. 45 Imeandikwa katika Manabii, Wote watafundishwa na Mungu.Yeyote amsikilizaye Baba na kujifunza kutoka kwake, huyo huja kwangu. 46 Hakuna mtu yeyote aliyemwona Baba isipokuwa yeye atokaye kwa Mungu, yeye ndiye peke yake aliyemwona Baba. 47 Amin, amin nawaambia, yeye anayeamini anao uzima wa milele.

Veja também