11 Yule mwanamke akajibu, "Hakuna hata mmoja Bwana."
Yesu akamwambia, "Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako, kuanzia sasa usitende dhambi tena."]
11 Yule mwanamke akajibu, "Hakuna hata mmoja Bwana."
Yesu akamwambia, "Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako, kuanzia sasa usitende dhambi tena."]
11 Yule mwanamke akajibu, "Hakuna hata mmoja, Bwana."
Isa akamwambia, "Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako. Kuanzia sasa usitende dhambi tena."]8:11 Maandiko mengine ya kale hayana sehemu ya Yohana 7:53–8:11.
11 Yn 5:14Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Nenda zako; wala usitende dhambi tena.]
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.