Wanafunzi Wa Kweli
31 Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, "Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli. 32 Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru."

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.