38 Yule mtu akasema, "Bwana, naamini." Naye akamwabudu.
39 Yesu akasema, "Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu."