Pular para o conteúdo
Publicidade

Waamuzi 13:24,25

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

24 Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni. Kijana akakua, naye Bwana akambariki. 25 Roho wa Bwana akaanza kumsukuma wakati alipokuwa huko Mahane-Dani, kati ya Sora na Eshtaoli.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    24 Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume, akamwita jina Samsoni. Kijana akakua, naye Mwenyezi Mungu akambariki. 25 Roho wa Mwenyezi Mungu akaanza kumpa msukumo alipokuwa huko Mahane-Dani, kati ya Sora na Eshtaoli.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    24 Ebr 11:32;1 Sam 3:19;Lk 1:80;2:52Basi yule mwanamke akamzaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni, mtoto huyu akakua, BWANA akambariki. 25 Amu 3:10;6:34;11:29;1 Sam 11:6;Mt 4:1;Yn 3:34;Yos 15:33Roho ya BWANA ikaanza kumtaharakisha katika Mahane-dani, katikati ya Sora na Eshtaoli.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.